Tuesday, October 23, 2012

KWANINI UITWE MKRISTO?










Wapendwa Bwana YESU KRISTO Asifiwe!

Napenda tushirikiane kwenye Mada hii ili tusaidiane kuelimishana katika safari hii ya Mbinguni,
Maana bila KUOMBEANA na KUELIMISHANA hatuwezi kuchuchumilia ile TAJI tuliyoahidiwa.

Haya tiririka Mpendwa!!!

3 comments:

  1. Mimi ni mkristo kwasababu nimeamua kumwamini na Kumkabidhi Bwana YESU maisha yangu ayatawale yeye.
    (MFUASI WA KRISTO; Kufuata maagizo ya BWANA WANGU.)

    ReplyDelete
  2. mm ni mkristo kwa sababu nimezaliwa ktk familia ya kikristo

    ReplyDelete
  3. Mimi ni mkristo kwa sababu ni muumini wa dini ya kikristo ninaishi maisha kutokana na mwenendo na sheria za ki kristo.

    ReplyDelete