Monday, October 22, 2012

MPENDWA UMEANDAAJE MAPITO YA BWANA?

YESU AKASEMA; MIMI ndimi NJIA, KWELI, na UZIMA. Mtu haji kwa BABA (MUNGU) ila kupitia MIMI. Je Ndugu yangu UMEJIANDAAJE???

2 comments:

  1. Nimemkabidhi YESU maisha yangu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Amina BARIKIWA sana mpendwa.Umechagua lililo Jema maana hakuna njia nyingine iendayo UZIMANI bila kupitia kwa BWANA YESU KRISTO.

      Delete